NEW VIDEO: DARK MASTER - MADUSKO (OFFICIAL MUSIC VIDEO)

Hapa mwanachemba Dark Master anaendeleza kuonyesha uwepo wake kwa game ya Music baada ya kutokwa na Mangwea na pia Mez B. Ngoma inaitwa "Madusko" na hicho kwa danta ndo kichupa  chake xoxo fanya ukidere arifff

No comments

Powered by Blogger.