NEW VIDEO: YOUNG 60 - WACHUO (OFFICIAL MUSIC VIDEO)

Mchizi anakwenda kwa jina la Young 60 na hapa yupo kwa kichupa cha ngoma yake "Wachuo" dizain kama Moe Kaaliamesimamia production nzima ya kichupa hicho. Ngoma na video ni kali and somehow vijana wanaanza kuonyesha umakini kazini..! #CreativityIsAPower Fanya ukidere kipachu kwa danta #LeeegggooLoversFriendsAndFans...

No comments

Powered by Blogger.