BRAND NEW VIDEO: YEMI ALADE - NA GODE (SWAHILI VERSION)
Kama ulishawahi kufikiria lugha ya kiswahili itakuja toweka masikio mwa wasikiliza, basi ujue unapotea na kitu hicho sio kweli. Hivi karibuni mwanadada kutoka Nigeria ambaye alitamba na kibao "Johnny" akitambulika kwa jina la Yemi Alade amefanya nyimbo ambayo ndani yake ameimba kiswahili. Ngoma inakwenda kwa jina la "Na Gobe" akimaanisha "Asante" kwa kiswahili na "Thank You" kwa kiingereza..!! Fanya kuidere kwa danta
Leave a Comment