BRAND NEW JOINT: THA RIFT x YOUNG JAMES - WONDERFUL (OFFICIAL AUDIO)

Kutoka nchini Marekani, hapa namleta kwenu msanii ambaye alifanya remix ya ngoma Kirikuu ya Moni wa Central Zone. Anafahamika kwa jina la Tha Rift na hapa ni katika ngoma yake mpya aliyofanya na Young James. Ngoma inakwenda kwa jina la Wonderful ikiwa ni remix. Fanya kumsikiliza Tha Rift x Young James - Wonderful (audio) #LeeggoooLoversFriendsAndFans

2 comments:

Powered by Blogger.