DOWNLOAD: GIFTED SON FT. MONI CENTRO ZONE - MR SHAOLIN
Ni mmoja kati ya wasanii kutoka mkoani Dodoma ambao kwa sasa wanafanya vema katika huu muziki pendwa zaidi nchini Tanzania na Afrika nzima kwa ujumla. Anafahamika kama Gifted son hapa akiwa kamshirikisha msanii Moni wa Centro zone katika ngoma inayokwenda kwa jina la Mr Shaolin ikiwa ni utayarishaji wake Double Y. Tendea haki masikio yako kwa kuyasikilizisha huu mdundo kutoka kwa Gifted son ft Moni #Centrozone
Leave a Comment