DOXY FT RHOWZAY - TAKIN' THE WAY | DOWNLOAD MP3 | BLACKMUTU BLOG

All the way from Nigeria, brother from another mother anayekwenda kwa jina la Doxy amekuja kuwapa ile kitu moyo napenda!! Hapa akiwa kashirikiana na Rhowzay katika ngoma inayokwenda kwa jina la Takin' The Way (Audio) ambayo unaweza kuisikiliza kwa kubofya link hii HAPA na kama umeipenda waeza kuipakua kabisa aiseee!! It's all about good music you know.

No comments

Powered by Blogger.