YEMI ALADE - KOFFI ANAN (DANCE VIDEO) | DOWNLOAD MP4 | BLACKMUTU BLOG |
Anafahamika kwa jina la Yemi Alade, mwanamuziki kutoka Nigeria ambaye alitamba vilivyo na vibao kama "Johnny" na "Gobe". Hapa amekuja na dance video ya ngoma yake mpya inayofahamika kwa jina la Koffi Anan..!! Take Yo' time n' watch'out the vid
Leave a Comment