Fid Q amekuletea video mpya ya ngoma yake Kemosabe. Hii ni video ya kwanza kwa Fid Q ndani ya mwaka 2017 baada ya video za Roho na Moyo kufanya vizuri kwa mwaka jana. Watch out the video PATA TAARIFA ZOTE MUHIMU PINDI ZITUFIKIAPO UKIWA NA MOBILE APPLICATION YA BLACKMUTU INAYOPATIKANA KWA PLAYSTORE #LeeggooLoversFriendsAndFans #FreeDownload #BlackMutuApp
Leave a Comment