ASLAY - ANGEKUONA (OFFICIAL MUSIC VIDEO)

Aslay ni mmoja wa wasanii ambao wapo Yamonto Band ambayo ipo chini ya Mkubwa Fella, alianza kufahamika baada ya kutoa nyimbo ya Nakusemea ambayo ilifanya vizuri sana. Hapa kakuletea video ya nyimbo yake mpya kama
solo artist inayofahamika kwa jina la Angekuona, ni moja kati ya nyimbo ambazo zinadhihirisha kipaji cha Aslay na nadhanin kwa hili mkubwa Fella anaweza fikiria kumwacha Aslay akafanya project za peke yake kwani ndiyo sehemu pekee ambayo kipaji chake kinaweza kuonekana. Ni mtazamo tuu, angalia hii video kwa danta halafu nambie nawe waonaje 

No comments

Powered by Blogger.