JINSI YA KUTUNZA PH YA UKE (VAGINAL pH)


 Maana Ya pH ni Potential Hydrogen whereby pH scale Inaanza from 0-14 ambapo 1-5 ni acidic na 8-14 ni Basic. Kwa kawaida mwili wa Binadamu una pH yake na pH ya Vagina(Uke) ni kuanzia 3.8-4.5 nikimaanisha vagina ni acidic In nature! Ipo hivyo so as to favour ukaaji wa bacteria fulani wanaitwa

Lactobacilli ambao kazi yao kubwa ni kulinda uke from Infections mbalimbali giving it a certain smell na the fluids unazoziona kule ndo lactobacilli acid ambayo kazi yake ndo Hiyo, kwahiyo ikiondoka tu hiyo uke unashambuliwa na magonjwa kama yote..!

VITU AMBAVYO HUATHIRI VAGINAL pH

1.SABUNI(SOAP)
Tumejengewa Imani kuwa inabidi kuosha uke na sabuni na powders kwamba unatoa harufu huku tukisahau kuwa uke unajisafisha wenyewe(Self cleaning) na Ile harufu ndo Yake sasa hii huathiri ecosystem ya uke. Kuna soaps zina PH 9-10 kwahiyo zinaathiri lactobacilli wanaolinda uke hivyo ulinzi wote unaondoka mashambulizi from infections yanakua very simple
SULUHISHO
Tumia maji Ya moto na kitambaa kuosha uke, au unaweza tafuta soaps zenye pH ya 4.5.

2.NGONO(SEX)
Shahawa zina pH karibia 9 na kuendelea depending na mtu kwahiyo kuwa nazo kwenye ukeni kunaathiri mazingira ya survival ya Lactobacilli kushambuliwa na magonjwa example candida microbes n.k inakua simple
SULUHISHO
Jitahidi kukojoa kila baada ya Kufanya Ngono!
3.KULA VYAKULA VYENYE SUKARI(SUGAR FOODS)
Kula vyakula vyenye sukari kunakaribisha ujio wa sugar loving microbes kama candida ivii instead jaribu kula small amount of sugar na simple carbs kama vile Yoghout na vitu kama Garlic ivii, maana Yoghourt creats mazingira mazuri ya lactobacillus na garlic inafanya mkojo kuwa more acidic.

No comments

Powered by Blogger.