KWA MTAJI WA TSH. 11,500 UNAWEZA KUFANYA HAYA

Mobistock,
Mfumo mpya wa kutumia simu yako ya mkononi unaokuwezesha kutoa huduma mbali mbali katika jamii bila ongezeko la bei na kukupatia faida kila baada ya muamala kukamilika wa kuuza.

Huduma zipatikanazo:
1. Luku
2. Vocha za kurusha za (airtel, vodacom, tigo, zantel, smart na halotel).

3. Kulipia vingamuzi (dstv, startimes, azam tv).
4. Kulipia smile internet

5. Kulipia Box office (dstv)
6. Kumnunulia mteja vifurushi ya smart, zantel na tigo vya maongezi na internet.

Kamisheni:
Kwa kila muamala ufanyao na kukamilika utalipwa kamisheni papo hapo
1. Vocha na vifurushi 4% - 5.1%
2. Startimes 10%
3. Dstv 2%
4. Azam 1%
5. Smile 1%
6. LUKU 1%

Kuitoa Kamishen:
Utaitoa kamishen yako muda wowote ule kwa kuendelea kuuza kawaida baada ya mtaji wako kuisha pasipo kuongeza mtaji wako.

Kuweka Mtaji Katika Mobistock:
Mtaji utauweka kupitia utaratibu maalum kwa njia ya mpesa, Tigo pesa, airtel Money au Ezy Pesa kulingana na laini utakayo unganiswa nayo katika Mobistock.

Mashine Ya Mobistock:
* Tunazo mashine (POS) za kuuzia Luku na huduma zingine zilizo tajwa hapo juu kwa tshs. 450,000/=, hii nashine itabaki kuwa yako, hatuitaji nyaraka zozote zile kutoka kwako, itakufikia ikiwa na mtaji tayari wa tshs. 100,000 ndani na kwa wateja wa mikoani watagharamia usafiri kuwafikia, ila kwa walioko Dar hakutokuwa na gharama yeyote ya usafiri bali kufika na kuichukua ofisini baada ya kufanya malipo hayo katika akaunti yake ya Mobistock.

Kufungwa kwa akaunti yako:
Akaunti ya wakala itafungwa endapo kama haito tumika kwa kipindi cha miezi miwili mfululizo.

ILI KUSAJILIWA KUJIUNGA NA MFUMO HUU:

1. Weka mtaji wako wa tshs. 11,500 au zaidi katika akaunti yako ya simu utakayo kusajiliwa mfano. tigo pesa/ mpesa kisha...

2. Tuma mtaji kwenda mobistock kwa kufuata utaratibu wa hapo chini.


(A) JINSI YA KUTUMA MTAJI WA KUANZIA KUPITIA TIGO PESA

Piga *150*01#

Kisha chagua 4 malipo,

Chagua 3, ingiza namba ya kampuni 077777

Ingiza namba ya kumbukumbu ya malipo 10045591

Ingiza kiasi 11,500

Ingiza namba yako ya siri ya Tigo Pesa.


(B) JINSI YA KUTUMA MTAJI WA KUANZIA KUPITIA M-PESA

Piga *150*00#

Kisha chagua 4 Lipa kwa Mpesa,

Chagua 1,weka lipa namba 5235175


Ingiza kiasi 11,500

Ingiza namba yako ya siri ya M-Pesa

3. Tutumie sms ya malipo utakayo pokea kutoka Tigo Pesa au Mpesa ukiambatanisha Jina lako, namba yako ya simu ya kusajiliwa pamoja na eneo ulilopo

kwenda 0755 572 777 au 0655 057 212 (namba hizi zina usajili wa id 10045761 na 10045591 zinahudumia usajili popote pale ulipo Tanzania )

Gharama za Kujiunga:
Utakatwa tshs. 1,000/= tuu katika mtaji ulio tuma Mobistock kwa mara ya kwanza na kiasi kinachobakia kitawekwa katika akaunti yako ya mobistock ili uanze nacho kazi.

* Tahadhari, usikubali kumpatia mtu pesa yoyote akuunganishe mobistock kwani huduma inatolewa "bure".*

* Pesa zote zinawekwa katika akaunti ya mteja kwa utaratibu maalum wa kulipia kwa namba yetu ya kampuni 077777 iliyo sajiliwa mpesa, tigopesa na MOBISTOCK kwa ezypesa na airtel money kwa kupitia namba ya kumbukumbu ya malipo (namba yako ya uwakala ya Mobistock baada ya kusajiliwa).*

Download Android application ya mobistock hapa yenye miongozo mbali mbali kwa ajili ya kumsaidia wakala.


Tutembele Facebook
MobiStock Tanzania - Super Agent | Facebook

Tembelea Tovuti yetu ya usajili
MobiStock SuperAgent


MOBISTOCK BIASHARA MKONONI *150*33#

4 comments:

  1. is good bussnes, help know more

    ReplyDelete
  2. Nyie waongo yani nitme ela kabla yakuunganishwa? Unganishq kwanza laini ndipo watu waingize fedha wapge bisnes wiz huo tunaufanyq mtaani so naujua vizr sana

    ReplyDelete

Powered by Blogger.