CHRIS BROWN - QUESTIONS (OFFICIAL MUSIC VIDEO)

Msanii kutoka Marekani ambaye ameshawahi kufanya show Mombasa nchini Kenya, Chris Brown ameachia video ya nyimbo yake Questions ambayo ni kama copy and paste fulani kutoka kwa Kevin Lyttle kwenye ngoma yake ya 'Turn Me On' ambayo ilitamba mwaka ya 2003. Take your time and watch out the video kwa danta mtu wangu, wakati ukisubiria album ya Chris Brown ambayo itaitwa "Heartbreak On A Full Moon" 

No comments

Powered by Blogger.