FID Q - FRESH (REMIX) FT. DIAMOND PLATNUMZ & RAYVANNY | DOWNLOAD MP3
Msanii wa muziki wa hip hip Bongo, Fid Q ameachia remix ya ngoma yake ‘Fresh’ ambapo amewashirikisha Diamond na Rayvanny. Producer wa ngoma ni Tidy Hostter na mixing kafanya Lizer Classic.
Leave a Comment