FREEWIFI - THROW IT (MUSIC AUDIO)
Kutoka Mineapolis nchini Marekani namleta kwenu Tha Rift akiwa na crew yake mpya "FREEWIFI" katika ngoma inayokwenda kwa jina la 'Throw It' ikiwa ni audio ambayo imetengenezwa na prodyuza Topper Atwood. Kama una kumbukumbu nzuri utakuwa unamfahamu Tha Rift kama msanii kutoka nchini Marekani ambaye amewahi kufanya collabo na msanii kutokanchini Tanzania, Moni Centrozone kwanye 'Kirikuu Remix' ambayo unaweza kuisikiliza kwa kubofya HAPA na kuinunua HAPA mtu wangu
Leave a Comment