MATOKEO YA MTIHANI WA DARASA LA SABA 2017 - NECTA

Nchini Tanzania, wanafunzi wa shule ya msingi wanafanya mtihani wa kumaliza elimu yao ya msingi. Huu ni utaratibu wa elimu nchini Tanzania ambapo kila mwaka mwaka wanafunzi wa shule ya msingi waliosoma kwa muda wa miaka mitatu wanahitimu kwa kufanya mtihani ili kuchaguliwa kuendelea na sekondari. 
BlackMutu Vision kwa kushirikiana na AlvialTz Apps wamekuletea njia rahisi zaidi ya kuangalia matokeo ya mtihani wa taifa wa darasa la saba mwaka 2017 kwa kutumia simu yako ya mkononi. Unaweza kutazama matokeo ya darasa la saba 2017 kwa kupakua mobile App ya MATOKEO - Darasa la SABA kutoka Google play store kwa kubofya HAPA

5 comments:

  1. Hongera sana wanafunzi wa darasa la Saba kwa kuhitimu shule ya msingi.

    ReplyDelete
  2. Your work is truly appreciated round the clock and the globe. It is incredibly a comprehensive and helpful blog. Fafa855

    ReplyDelete
  3. Your work is truly appreciated round the clock and the globe.


    คาสิโนออนไลน์

    ReplyDelete
  4. The blog are the best that is extremely useful to keep.
    I can share the ideas of the future as this is really what I was looking for,
    I am very comfortable and pleased to come here. Thank you very much!
    ทางเข้า ยูเพลย์365

    ReplyDelete

Powered by Blogger.