DIAMOND PLATNUMZ FT. MR BEAN - HALLELUJAH (REMIX)
Nyimbo mpya ya Diamond Platnumz imemfikia mchekeshaji maarufu duniani Rowan Atkinson almaarufu kama Mr Bean, angalia alichokifanya kwa video. Ni noma aisee dizaini kama muziki wa Tanzania unazidi kupenya duniani. Watch out the video kwa danta mtu wangu wa nguvu. Unaweza kuipakua na kushare
Leave a Comment