HATIMAYE IRENE UWOYA AMTAMBULISHA MUMEWE!! NI DOGO JANJA

Kupitia ukurasa wake wa instagram, mwigizaji Irene Uwoya ammtambulisha mume wake ambaye hapo mwanzo watu wengi walikuwa hawamfahamu. Ni DOGO JANJA kwa mujibu wa Irene Uwoya mwenyewe. Hatimaye lile swali na kutaka kumjua bwana harusi limepata majibu kutoka kwa muhusika mwenyewe. Hongera Dogo Janja & Irene Uwoya.
Image result for animated download now gif

No comments

Powered by Blogger.