SHOW YA MONI CENTROZONE KWENYE JUKWAA LA FIESTA 2017

Msanii Moni Centrozone anazidi kuonyesha uwezo hasa wa kutawala jukwaa na pia kuwa na pumzi kubwa sana pindi anapo perform. Hii imemfanya aaminike na kupewa kufunga show kubwa kama ya Fiesta kwa mkoa wa Dodoma ambapo ilifanyika terehe 03/11 mwaka huu. Kama ulipata wasaa wa kutazama show yake ama hukupata wasaa wa kuangalia show ya Moni Centrozone, fanya kuidere kwa hapa chini mtu wangu wa nguvu.
Leave a Comment