MAMBO 10 USIYOFAHAMU KUHUSU DOKTA LUIS SHIKA

Inawezekana kabisa kuwa Dokta Luis Shika almaarufu kama 'Tajiri mtata' au 'Mzee Billioni 3' ama 'Babu' anavyofahamika mtaani kwake anapoishi maeneo ya Tabata Mawezni jijini Dar es salaam ndiyo mtu pekee kwa mwezi wa huu (11) ambaye amepata umaarufu mkubwa ndani ya muda mchache kutokana na kuharibu mnada uliokuwa unaendeshwa na Yono ukizihusisha nyumba 3 za Lugumi. Yafuatayo ni mambo kumi usiyofahamu kuhusu Dk. Luis Shika almaarufu kama "Bilionea Mtata" wa nyumba za Lugumi.
1. Amewahi kuwa kuwa rais wa chuo, M.T.C Mbeya (1977 - 1979).

2. Chuoni alikuwa akifahamika kwa jina la Lunyalula Kidola.

3. Ana degree ya medicine aliyosomea nchinin Urusi miaka ya 80's.

4. Alikuwa ni mwanafunzi mwenye akili nyingi sana darasani.

5. Ana zaidi ya miaka 15 tangu arudi nchini lakini kila siku anadai kusubiri mizigo yake kutoka Urusi ifike bandarini.

6. Mtaani anafahamika kwa jina la 'Babu' na sio 'Dokta'.

7. Alirudishwa nchini Tanzania kutoka Urusi kwa amri ya serikali kutokana na ulevi uliokithiri na pia kulikuwa na yamkini kuhusu 'utimamu wake'. 

8. Ndugu zake wamemtenga, ana miaka zaidi ya 20 hajafika kwao.

9.  Anakaa Tabata Mawenzi.

10. Kabila lake ni msukuma.
Image result for animated download now gif

No comments

Powered by Blogger.