MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE TANZANIA

Wanafunzi wa kidato cha nne nchini Tanzania wanafanya mitihani yao ambayo imeanza tarehe 30 mwezi wa 10 siku ya jumatatu. Baada ya wiki mbili wanafunzi wote wenye vigezo vya kufanya mitihani watakuwa wamemaliza mitihani yao. Baada ya hapo kinachosubiriwa ni matokeo ya mitihani hiyo. 
Kupitia simu yako ya mkononi unaweza kupata matokeo ya kidato cha nne pindi yatakapotangazwa na tume husika. Unachotakiwa kufanya ni kwenda Google play store na kuandika 'MATOKEO' na kisha kupakua / download na kisha install kwenye simu yako, subiri kujulishwa pindi matokeo yatakapotoka. Unaweza kupakua MATOKEO mobile app kwa kubofya HAPA au bofya hapa MATOKEO Kidato cha NNE

Unaweza kuzipakua mobile app za matokeo kupitia playstore kwa kubofya

MATOKEO  ya Darasa la NNE - Click Here

MATOKEO ya Darasa la SABA - Click Here

MATOKEO ya Kidato cha PILI - Click Here

MATOKEO ya Kidato cha NNE - Click Here

MATOKEO ya Kidato cha SITA - Click Here
Image result for animated download now gif

No comments

Powered by Blogger.