TAZAMA VIDEO: HARUSI YA DOGO JANJA NA IRENE UWOYA

Hayawi hayawi sasa yamekuwa, haolewi mbona kaolewa.. hayo ni maneno ya waswahili katika nyimbo zao ambapo wengi walikuwa hawaamini kama Dogo Janja anaweza kumuoa Irene Uwoya. Kama na wewe ni mmoja wapo uliyekuwa unaamini hivyo fahamu kwamba unakosea, kwani mpaka muda huu unavyosoma hii post ni kwamba Janjaro yupo kwa honey moon na mkewe mpya kabisa Irene Uwoya ambaye kwa sasa amebadili dini na kujiita Sheila. 
Tazama video ya harusi yao kwa danta mtu wangu wa nguvu

Image result for animated download now gif

No comments

Powered by Blogger.