MAMBO MATANO (5) USIYOFAHAMU KUHUSU NABII TITO WA KANISA LA WALEVI

Baada ya sakata la Dr Shika kupita, sasa ameibuka nabii Tito ambaye yeye amezua gumzo na kujikuta yupo mikononi mwa polisi baada ya video clip zilizosambaa mtandaoni zikimuonyesha akifanya mambo ambayo ni kinyume na maandiko yanavyosema. Najua mengi umeshasikia kuhusu nabii huyu wa kanisa la walevi na hapa nakuletea vitu vitano ( 5 ) ambavyo ulikuwa haujui kuhusu nabii Tito wa kanisa la walevi.
MAAJABU MATANO ( 5 ) YA NABII TITO
1. Ameshawahi kuwa dereva teksi miaka ya nyuma.
2. Alishawahi fanya kazi kama kinyozi kwenye salon ya kiume jijini Dar.
3. Analala kitanda kimoja na mke wake na house girl wao.
4. Ameshawahi kukutana na marehemu Steven Kanumba na kumshauri ajiunge na dini yake lakini marehemu akakataa.
5. Anataka kumuoa Wema Sepetu na mtu anayemkuwadia ili ampate Wema Sepetu ni mke wake.
Image result for animated download now gif

No comments

Powered by Blogger.