Baada ya kutamba kwa vibao kadha wa kadha, msanii Aslay ameshirikiana na Bahati katika ngoma yao mpya inayokwenda kwa jina la "Bora Nife". Tumia dakika zako 3 kumsikiliza Aslay na Bahati then utapata jibu kwanini wanasema "Bora Nife". Produced by Burny Music, video Directed by Eixcher.
Leave a Comment