FID Q: MANGWEA ALIFANYA NIKAFUTA VERSE YANGU KWENYE CNN

Fid Q ni moja ya watu waliowahi kufanya kazi na Ngwair, na ameelezea alichokifanywa ambacho Fid Q hakutegemea na kuamua kumwambia Majani afyte ile verse yake na kumlazimu kufanya mabadiliko.
PATA TAARIFA ZOTE MUHIMU PINDI ZITUFIKIAPO UKIWA NA MOBILE APP YA BLACKMUTU INAYOPATIKANA KWENYE PLAY STORE
#LeeggooLoversFriendsAndFans #FreeDownload #BlackMutu #MobileApp
Leave a Comment