JE, HUYU NDIYO BINADAMU MWENYE AKILI NYINGI ZAIDI TANGU KUUMBWA KWA DUNIA?

Anaitwa Leonardo da Vinci kazaliwa 15 April 1452 na kufariki 2 may 1519. Huyu jamaa Mungu alimpendelea kwakweli maana alijaliwa kila aina ya kipaji na utashi, alijihusisha na... 
  • Music
  • Uchoraji
  • Fasihi
  • Uhandisi
  • Geology
  • Mathematics
  • Astronomy
  • Botany
  • History
  • Cartography
  • Uandishi
  • Sayansi
  • Architecture
  • Palaeontologist
  • Iconology
  • The list is going on...

Hivyo ni baadhi tu ya taaluma zake alizotendea kazi na zipo nyingi nimeona niishie hapo. Davinci kagundua mambo mengi mno na mengne yanaendelea kuvumbuliwa kupitia maandishi yake...


Baadhi ya vitu alivyogundua na kazi zake ni hizi..

  • Helicopter
  • Parachute
  • Mkasi
  • Vifaru na Magari ya jeshi
  • Kaingiza mfumo wa Double entry system kwenye Bookkeeping
  • Kachora mfumo wa mishipa na mifupa
  • Geometry kavumbua
  • Optical instruments za barabarani
  • Mifumo ya mabomba ya maji
  • Calculator
  • Katengeneza Kibodi ya kinanda
  • Matumizi ya solar energy
  • Picha ya mlo wa mwisho wa yesu
  • Mona lisa
  • The list is going on..
Sijasema ni most genius kwa kigezo cha mambo aliyogundua bali kwa vipawa alivyokua navyo na kuvitendea kazi. Hii hapa listi yangu ya watu wenye akili zaidi kuishi hapa duniani.

  1. Yesu wa Nazareth mwana wa bikira maria
  2. Leonardo da vinci
  3. Nicola Tesla
  4. Issac Newton
  5. Da'Vinci Jf expert member
Nini maoni yako...?? Nani Genius wako????
Image result for animated download now gif
Powered by Blogger.