AY ft. FID Q - MICROPHONE (OFFICIAL MUSIC VIDEO)

Baada ya ngoma 'More and More' kufanya vizuri mwaka jana, msanii Ambwene Yessaya almaarufu kama AY amekuletea video ya ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la 'Microphone' akimshirikisha Fid Q. Ikiwa ni utayarishaji wa B Hits kwa audio na video imefanywa na Wanene chini ya director Destro. Watch out the video below and you can download 'Microphone' audio HERE

AUDIO | AY ft. FID Q - MICROPHONE | DOWNLOAD MP3

Image result for animated download now gif

No comments

Powered by Blogger.