HII NDIYO STAREHE YA KWANZA DUNIANI

Starehe ni jambo la kuuburudisha mwili/mwili kujisikia burudani.. nje na kunywa vilevi, tendo la ndoa, kula, kunywa n.k kuna jambo moja limesahaulika ambalo ndio msingi mkuu wa starehe zote mtu azifanyazo nalo ni kuwa na AFYA NJEMA. 

Mtu asikudanganye hakuna starehe kama kujisikia na afya njema,utulivu wa mwili.. huo ndio msingi wa starehe,ni raha iliyoje kumuona umpendae ni buheri wa afya au wewe mwenyewe kujisikia ni buheri wa afya?!


Pesa ni kibwagizo cha starehe tu lkn ukweli ni unaweza kuwanazo na usijisikie raha ya maisha!,nachopenda kuwahasa watanzania wenzangu tuhakikishe afya zetu zinakuwa njema kwa manufaa ya kwetu na wale tuwapendao..!

Image result for animated download now gif

No comments

Powered by Blogger.