ANGALIA NJIA RAHISI ZAIDI YA KUPATA MATOKEO YA KIDATO CHA SITA

Kutokana na usumbufu unaowapata wahitimu wengi wa kidato cha sita wa kutopata matokeo yao kwa wakati, sasa tatizo hilo limetatuliwa. Wanafunzi / wazazi / walezi wanaotaka kufahamu matokeo wanaweza kupakua mobile application ya MATOKEO - Kidato cha SITA ili waweze kuona matokeo kwa haraka zaidi kupitia simu yako ya mkononi. 

Hii ni njia rahisi ya kupata matokeo yote ya kidato cha sita kuanzia mwaka 2015 mpaka mwaka 2017. Huu ni mwanzo tuu kwani, kupitia mobile application hii utaweza kupata mpaka matokeo ya kidato cha sita kwa miaka yote ijayo 2018, 2019, 2020 na kuendelea. Unaweza kuipakua kupitia playstore kwa kubofya HAPAMATOKEO - Kidato cha SITA.


Image result for animated download now gif

No comments

Powered by Blogger.