AY ft. KING KIKI - SAFARI (OFFICIAL MUSIC AUDIO) | DOWNLOAD MP3
Msanii Ambwene Yessaya "AY" anakukaribisha kusikiliza dundo lake jipya akiwa kamshirikisha 'mzee wa kitambaa' cheupe unaweza kumuita King Kiki. Goma linaitwa Safari na unaweza kuisikiliza hapo chini mtu wangu.
AUDIO | AY - SAFARI ft. KING KIKI | DOWNLOAD
Leave a Comment