SIKILIZA WIMBO MPYA WA THE GREEN "BOSS"

Msanii The Green anakukaribisha kusikiliza wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la 'BOSS'. Ni bonge moja la track ambalo masikio yako hayapaswi kutoisikiliza. Hebu tendea haki masikio yako kwa kuyasikilizisha huu mdundo wa The Green "BOSS" ambao umepikwa na producer Wi2 Touchez.


Unaweza kupakua wimbo wa The Green unaokwenda kwa jina la BOSS kwa kubofya link hapo chini mtu wangu!! Comment yako ni muhimu!

No comments

Powered by Blogger.