SIKILIZA WIMBO MPYA WA CROWN JAY "GOOD DAY"

Kutoka DomTown Records, msanii Crown Jay anakukaribisha kusikiliza wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la "Good Day". Kama na wewe ni mmoja wa watu ambao mmekuwa na siku nzuri, fanya kusikiliza hili goma jipya kabisa kutoka kwa Crown Jay. Ngoma imetayarishwa na Witu Touchez.

No comments

Powered by Blogger.