Nuh Mziwanda anakukaribisha kutazama video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la "Machete" akiwa kamshirikisha 'mfalme wa Bongo flava' Dully Sykes. Unaweza kusikiliza na kupakua wimbo mpya wa Nuh Mziwanda "Machete" ft. Dully Sykes hapo chini.
Waliochaguliwa kujiunga kidato cha Tano Geita
-
Geita TAMISEMI Form five Selection | Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga
kidato cha Tano Geita. The TAMISEMI Form Five Selection is a crucial
milestone in...
Leave a Comment