CHID BENZ - MCHAKA MCHAKA | DOWNLOAD MP3

Chid Benz anakukaribisha kutazama video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Mchaka Mchaka. Game ya Hiphop nchini Tanzania ni kama imechangamka hivi na Chid Benz amekuja kuichangamsha zaidi kwa kuwapeleka Mchaka Mchaka wasanii wa Hiphop. Kula chuuuma kutoka kwa Chid Benz hapo chini.
AUDIO | Chid Benz - Mchaka Mchaka | DOWNLOAD MP3
Leave a Comment