HUTAKIWI KUMFANANISHA SLIMSAL NA MSANII YEYOTE WA BONGO. SABABU HII HAPA...

Wengi wamesikiliza hii ngoma ya Slimsal na kudhani ni kasi tu, lakini asilimia 90 wamepitwa na maana halisi. Leo kwenye Mistari, tunavunja ma-bars yaliyojificha ambayo yanahitaji IQ kubwa kuyang'amua. Hebu tuambie kwa comment hapo chini, umewahi kuisikiliza album ya Slimsal #BLIND?!!
Unaweza kusikiliza album ya Slimsal #BLIND hapo chini mtu wangu.
Leave a Comment