WIZ KHALIFA AMFUNGULIA MBWA WAKE ACCOUNT YA INSTAGRAM

Instagram ni mtandao wa kijamii ambao umekuwa maarufu baada ya Facebook ambayo ilikuwa launched February 04 mwaka 2004 na Mark Zuckerberg akishirikiana na roommates wake kipindi anasoma Havard College, makao makuu ya Facebook yapo Menlo Park, California. Wakati Instagram ilikuwa launched mwezi October mwaka 2010 na kupata umaarufu mkubwa mwaka 2012 na mwaka huo huo Mark Zuckerberg kupitia Facebook Inc. aliamua kuinunua Instagram ambayo ilianzishwa na Kevin Sytrom na Mike Krieger.
Watu wengi wamekuwa wakitumia mitandao ya kijamii kwa shughuli mbalimbali kama njia ya mawasiliano pamoja na shughuli za kibiashara ambapo wengi wao ni vijana. Hii imekuwa tofauti kidogo kwa Wiz Khalifa ambaye ameamua kumfungulia Instagram Account mbwa wake aitwae Vincent. Inaweza kuwa ni jambo la kushangaza lakini ndo ivoo ingali huku bongo kijana kama haupo katika mitandao ya kijamii waonekana ni kama "Mujomba" au mtu flani ivii wa kuja huku kila mtu akijaribu kuishi kama staa kwa kupost vitu vya gharama hata kama sio vyake mfano mtu kapewa lifti anaandika "On ma way to Office" wakati analikuwa na mashine yake namba kumi na moja akitafuta wapi daladala, na usiombe ifike mchana sasa hiyo misosi ambayo inapostiwa ni NyokA* (kwenye A weka O) huku watoto wa kike kila mmoja akijaribu kujibinunua aonyeshe MatakA* (kwenye A weka O) hata kama mziki wake sio mnene..! But sio kesi wala deni kila mtu afanye anachoona kwake ni sawa cha msingi asivunje sheria za nchi, na kama unataka kufahamu mbwa wa Wiz Khalifa anaishi maisha gani na ni nini anapost daily fanya kum'Follow kwa kubofya HAPA akitumia "TheAmazingLifeOfVincent" 

*Najua tuu wabongo tulivyo na akili za kuvukia barabara kuna watu watatamani kuwa mbwa wa Wiz Khalifa kwa ajili ya lile bata Mbwa huyu (Vincent) anakula na mnyamwezi Wiz. Picha linaanza mbwa kashaonekana mara kibao tuu MTV wakati brazameni hata KTMA hujawah onekana, Mixxa keshapigwa busu na mtoto Amber nin wakat we kila siku kuleteana kwere na mabekTize..!

theamazinglifeofvincent

  • 138 posts
  • 40.2k followers
  • 399 following

No comments

Powered by Blogger.