BAD NEWS: KENDRICK LAMAR AWA'DISS WASANII WA AFRIKA

Wakati album ya Kendrick Lamar #ToPimpAButterfly ikiwa katika category za Grammy katika kipengele cha album bora ya mwaka 2015, mojawapo kati ya ngoma ambazo zinapatikana kwa album hiyo inaitwa "For Free" ambayo ndiyo nyimbo ambayo amewa'diss wasanii wa Afrika kutoka Tanzania.
 Wasanii hao ambao mwaka jana waliachia online album iliyokwenda kwa jina la "For Free" (4 Free) ikiwa na nyimbo 17 wamedai Kendrick amewa diss kwa...


...kufanya album na kuitoa FREE of charge wakati ni wasanii ambao wana vipaji na pia wapo vizuri katika uchanaji xoxo album yao hawakutakiwa kuitoa bure kama kweli wapo serious na kazi zao wanazofanya, alitweet Kdot. 
Album ya Kendrick Lamar #ToPimpAButterfly hii HAPA na nyimbo For free ya Kendrick hii HAPA wakati ngoma ya Cascos #ForFree hii HAPA na online album iliyozua gumzo mtandaoni hii HAPA

No comments

Powered by Blogger.