ACHANA NA FOLLOWERS WENGI, UNAMJUA MTU ALIYE’FOLLOW WATU WENGI KULIKO WALIOM’FOLLOW??

Kwa sasa Diamond Platnumz anashikiria rekodi ya msanii mwenye followers wengi zaidi kwa bara la Afrika akiwa na followers zaidi ya million moja na nusu (1.5M) huku akiwaacha Davido na Wizkid ambao walikuwa wakiongoza kabla..!!

Kila siku tumekuwa tukisikia kuhusu watu wenye followers wengi bila kufahamu kuna watu ambao wana follow watu wengi kuliko watu ambao wamewa’follow. Unaweza kuona kama ni kituko kwani kila siku wat wana follow watu halafu wana unfollow ilimradi tuu wawe na followers wengi kuliko following...
Wakati wachunguzi wetu wakiendelea kuangalia nani mwenye “following” wengi kuliko followers, wewe pia msomaji waweza kutuambia nani mwenye following wengi kati ya friend list yako kwa instagram stay tuned soon utafahamu hapa hapa..!

No comments

Powered by Blogger.