WEMA SEPETU NA IDRIS SULTAN KUPATA MTOTO MWEZI WA NANE

Wema Sepetu au Madame Range kama wengi wanavyopenda kumuita baada ya kujinunulia gari aina ya Range sport kwenye birthday yake ya mwaka huu (2016) anatarajia kupata mtoto baada ya kupewa ujauzito na Big Brother Idris Sultan. Wema alithibitisha hilo kwenye kipindi cha Ala za Roho kinachorushwa Clouds Fm kikiongozwa na Diva the Bawse. Team Wema kama kawaida yake hawaishiwi maneno na hii mimba ya madame wanadai ni "Mimba Ya Taifa" huku maneno yakizidi kuwa mengi kwa social networks na mijadala isiyoisha kuhusu Wema na mimba yake. Wakati tunasubiria mtoto mwezi wa nane, hebu fanya kuona kidogo yaliyojili kwa kipindi cha ALA ZA ROHO usiku wa jana (28/01)
A video posted by Diva (@divathebawse) on  

A video posted by Diva (@divathebawse) on

No comments

Powered by Blogger.