UPCOMING ALBUM: DODOMA - BEACH DUME VOL. 2 (ONLINE ALBUM) | BLACKMUTU BLOG

Baada ya kufanya vizuri kwa online album ambayo ilitoka mwaka jana mwezi wa nne tarehe 22, ikifahamika kwa jina la DomTown Stand Up Vol. 1 ambayo ilikuwa na nyimbo 25 za wasanii wa mkoa wa Dodoma pekee. DomTown Stand Up album iliyotoka mwaka jana ilifanikiwa kwa kiasi chake kwani umepo wa hiyo album mtandaoni umesaidia kupata nafasi ya kufanya kazi na wasanii toka nje ya Afrika. Mmoja wapo ni Doxy wa Nigeria na Tha Rift wa Marekani.
Album ya mwaka huu itahusisha wasanii wa Dodoma na pia msanii yoyote ambaye yupo nje ya Dodoma au Tanzania lakini ameshawahi kufanya ngoma na msanii wa Dodoma. Hii ni fursa ya kuweza kufikisha muziki mbali zaidi.Hivyo basi, kama wewe ni msanii na ungependa nyimbo yako iwepo katika online ya mwaka huu inayokwenda kwa jina la Dodoma - "Beach Dume" fanya kutuma ngoma yako kwa email address: imcascos@gmail.com au nichek whatsapp kwa namba: +255 688 688 860 | BlackMutu

No comments

Powered by Blogger.