EXCLUSIVE: DODOMA - BEACH DUME ALBUM KUACHIWA TAREHE 22 / 04

Ikiwa zimebaki siku tano kabla ya online album inayokwenda kwa jina la Dodoma #BeachDume kuachiwa mtandaoni, wasanii bado wana nafasi ya kutuma nyimbo zao kwa email address alvialtz@gmail.com ili ziweze kujumuishwa pamoja katika album hiyo ambayo itapatikana mtandaoni rasmi tareha 22/04 mwaka huu. Album hii ni volume 2 baada ya DomTown stand Up album ambayo ilitoka mwaka jana tarehe 22/04. Kama wewe ni msanii usikubali
nafasi ikupite na unachotakiwa kufanya ni kutuma nyimbo zako zisizozidi mbili kwa email address: alvialtz@gmail.com upate nafasi ya kuwepo kwenye album moja na wakali kibao kutoka Dodoma kama Brayan, Moni, KanjaWizle, Crown Jay, Machizi Reality, Host Zee "Ving'ang'a" na wengineo wengi.

No comments

Powered by Blogger.