SHOW ALIYOFANYA CHRIS BROWN, ALI KIBA NA WIZKID MOMBASA, KENYA HII HAPA

Msanii Chris Brown amefanya show kwa mara ya kwanza Mombasa nchini Kenya huku akisindikizwa na wasanii kama Ali Kiba, Wizkid, Vanessa Mdee na wasanii wengineo wengi. 


Inasemekana Chris Brown amelipwa kiasi cha Ksh 90 millioni ambazo ni sawa na Tsh 1.937 Billion kwa show ya dakika 90 yaani saa moja na nusu. BlackMutu amekusogezea show nzima ya Chris Brown kwa danta. Watch out and tell me nani kawafunika wenzie!!
Sina uhakika sana muziki wa Kenya unaelekea wapi kwani show zote kubwa nchini kwao wanaalikwa wasanii wakubwa kutoka Tanzania, labda ndo mambo ya muungano hayo. Sie twaenda kuwapa burudani wao waja kuwekeza.. basi saaaawa na tupate burudani kwa maana hamna namna

Swali ni Je! amelipa kodi? au ile PAYE

No comments

Powered by Blogger.