MCHEKI RIHANNA AKINUNUA MAHINDI BARABARANI

Inawezekana ukaona ni kitu cha ajabu siku ukikutana na Vanessa Mdee ananunua muhindi wa jero barabarani lakini kwake ikawa ni kitu cha kawaida
kabisa huenda yeye binafsi amekuwa akifanya hivyo kabla hata ya kuwa mtu maarufu. Wabongo lazima waseme umefulia, mara ooh keshapigwa chini na Jux na maneno ka hizo! Sio ishu sana, cha msingi ni wewe kutumia dakika yako moja na nusu ukimtazama Rihanna akinunua mahindi huko Barbados alipoenda kwenye tour ya album yake mpya ANTi

No comments

Powered by Blogger.