MSIKILIZE RAIS MTEULE WA MAREKANI, DONALD TRUMP AKIIMBA 'PANDA' YA DESIIGNER


Ni mojawapo ya ngoma kali zaidi kwa mwaka 2016 ambayo imefanywa na msanii Desiigner ambaye kwa sasa yupo katika lebo ya Good Music ya Kanye
West. Hii imemfanya mojawapo ya maproduza wadogo nchini Marekani kuifanyia remix kwa kuingiza sauti za mteule rais wa Marekani ndugu Donald Trump na kuipa umaarufu remix hiyo ambayo kupitia mtandao wa Youtube imeshasikilizwa zaidi ya mara millioni mbili

No comments

Powered by Blogger.