MATOKEO YA KIDATO CHA NNE (CSEE) MWAKA 2016 / 2017
BARAZA la Mitihani Tanzania (NECTA) leo Januari 31, 2017 limetangaza matokeo ya Mtihani wa Kuhitimu Elimu ya Sekondari, Kidato cha Nne kwa mwaka 2016, mtihani ambao ulifanyika mwishoni mwa mwaka jana ambapo ufaulu umeongezeka kwa asilimia 2.44 ukilinganishwa na ule wa mwaka jana.
Katika matokeo hayo, shule za Mikoa ya Pwani na Dar es Salaam zimeonekana kung’ara zaidi kwa kushika nafasi za juu wakati huohuo shule 6 za Dar es Salaam zikishika nafasi 10 za mwisho katika matokeo hayo.
SHULE ZILIZOINGIA 10 BORA KITAIFA:
Feza Boys Sec School – Dar es Salaam
St. Francis Girls Sec School -Mbeya
Kaizirege Junior Sec School – Kagera
Marian Gilrs Sec School – Pwani
Marian Boys Sec School- Pwani
St. Aloysius Girls Sec School – Pwani
Shamsiye Boys Sec School – Dar es Salaam
Anuarite Girls Sec School- Kilimanjaro
Kifungilo Girls Sec School- Tanga
Thomas More Machrina Sec School – Dar es Salaam
SHULE ZA DAR ES SALAAM ZILIZOSHIKA NAFASI 10 ZA MWISHO:-
Kitonga Sec School
Nyeburu Sec School
Mbopo Sec School
Mbondole Sec School
Somangila Day Sec School
Kidete Sec School
>> MATOKEO YA QT <<
* DOWNLOAD MATOKEO APP *
Unaweza kuzipakua mobile app za matokeo kupitia playstore kwa kubofya
Unaweza kuzipakua mobile app za matokeo kupitia playstore kwa kubofya
MATOKEO ya Darasa la SABA - Click Here
MATOKEO ya Kidato cha PILI - Click Here
MATOKEO ya Kidato cha NNE - Click Here
MATOKEO ya Kidato cha SITA - Click Here
Leave a Comment