VIDEO: MWANASHERIA ALBERTO MSANDO AKICHEZEA "PAPUCHI" YA GIGY MONEY

Baada ya video iliyomuonyesha Alberto Msando akiichezea "papuchi" ya Gigy Money kusambaa mtandaoni, mwenyewe (Alberto Msando) ameibuka na
kuomba msamaha kwa yeyote ambaye kwa namna moja ama nyingine amemkwaza kutokana na video hiyo. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, 
Alberto Msando amesema haya:
From @albertomsando - Nikikaa kimya nitakua mnafiki. Nimekosea. Kilichotokea hakikupaswa kutokea. I will be a man enough and say sorry kwa wote ambao nimewakwaza na kuwaangusha. Am so sorry. But the beauty of all this is we all are human. Kuna watu ambao wamekuwa wepesi kuhukumu. Siwalaumu. Ni sawa na ni haki yao. I made a stupid mistake. I take full responsibility. Mwisho wa siku maisha lazima yaendelee. It could have been worse. And to all those who took time to text I appreciate. Thats friendship. #TheDon #Hennessy #TheClip

KUTOKANA NA MAADILI, VIDEO TUMEKUWEKEA HAPA
Chanzo cha video: TUIBUBU TV

UPDATES:
Video hii imepelekea Alberto Msando kujiuzulu nafasi yake ya mshauri mkuu wa chama cha ACT Wazalendo, kama ambavyo aliandika hivi kwenye ukurasa wake wa instagram: @albertomsando

No comments

Powered by Blogger.