MBUNIFU WA MITINDO WA KIMATAIFA, SHERIA NGOWI AZINDUA MOBILE APPLICATION YAKE
Mobile application hiyo ya Sheria Ngowi itawezesha wateja wake na wapenzi wa mitindo ya mavazi kwa ujumla kuona design tofauti tofauti ya mavazi ambayo amekuwa aki design. Haya ni mafanikio makubwa kwa sekta ya mavazi nchini kwani siku sio nyingi watu maarufu wa Tanzania wataanza kuvaa designer clothes kutoka kwa wabunifu wa kitanzania.
Unaweza kuipakua Sheria Ngowi mobile app kutoka Google Play store kwa kubofya HAPA
Leave a Comment