TAARIFA MAALUM KUTOKA KWA ADAM SHULE KONGWE NA JAVANI CHUNA NGOZI WA DOM DOWN CLICK (D.D.C)
WACHENGUAJI WAKO KATIKA UTAMADUNI WA HIPHOP ADAM SHULE KONGWE NA JAVANI CHUNA NGOZI WAKIWA KATIKA HATUA ZA MWISHO ZA KUMALIZA MATAYARISHO YA KANDAMSETO YAO INAYOKWENDA KWA JINA LA "CHINI KABISA".
WATU WANAOUNGA MKONO JAMBO HILI WATAJIUNGA KWA HIYARI KUPITIA LINK HII https://chat.whatsapp.com/HuEl1fzckic66ECCyiT7qo
MAMBO MATANO YA KUZINGATIA KAMA UTATAKA KUJIUNGA NA KUNDI HILI:
1. USIWE MCHENGUAJI KATIKA UTAMADUNI WA HIPHOP KWA MAANA WANAOHITAJIKA NI MASHABIKI NA SIO WASANII WENZETU.
2. USITUMIE LUGHA YA MATUSI AU KEJELI UKIWA KUNDINI.
3. USISAMBAZE TAARIFA YOYOTE ISIYOHUSIANA NA MRADI WA CHINI KABISA NDANI YA KUNDI HILI.
4. UWE NA AKILI TIMAMU NA NIA YA DHATI YA KUA BALOZI MZURI WA MRADI HUU MTAANI KWAKO NA KATIKA KURASA ZA MITANDAO YAKO YA KIJAMII.
5. USIWE NA NIA YA KUA KIKWAZO KATIKA MAFANIKO YA MRADI HUU.
MRADI WA KANDAMSETO YA CHINI KABISA UNATARAJIWA KUINGIA MTAANI 21/07/2017 NA UTAPATIKANA KWA BEI YA TSH. 10000/-
UNARUHUSIWA KULIPIA KABISA KWA KUPITIA NAMBA 0764 900 872 AU PIGA NAMBA HIYO KWA MAELEZO ZAIDI.
IKUMBUKWE NI HIYARI SIO LAZIMA KWA YULE AMBAYE HAITAKUA NA MAANA KWAKE NI VEMA AKAENDELEA SHUGHULI ZINGINE ZA KILA SIKU KARIBUNI SANA NDUGU ZANGU KATIKA UTAMADUNI WA HIPHOP.
Leave a Comment