Kutoka nchini Marekani, msanii Tha Rift akiwa na wenzake JPlaza na Dady Dinero ambao kwa pamoja wanaunda kundi la FREEWIFI wanakuletea ngoma yao mpya inayokwenda kwa jina la 'Salsa' ambayo imetayarishwa na Angelo Bombay. Take your time and listen to the song below, believe me IT's HOTTT.
Leave a Comment