ALIKIBA KUITWA 'BABA', DEMU WAKE WA MWANZA APATA MIMBA

Dizaini kama KingKiba ameamua kujibu mapigo ya hashimu wake mkubwa Diamond Platnumz ambaye kwa sasa ana'kiki kwa skendo za kumpa mimba Hamisa Mobetto ambaye amejifungua hivi karibuni. Hivi karibuni mwanamke anayefahamika kwa jina la Dorothea ameutangazia umma wa watanzania kuwa ana mimba ya Alikiba. 
Mwanadada huyo ambaye kupitia account yake ya instagram alipost hadi kitanda ambacho wawili hao wali kwichi kwichi mpaka kupatikana kwa mimba hiyo ambayo Dorothea anadai kuwa ni ya Alikiba.
Wakati hayo yakiendelea ikumbukwe kwamba msanii Alikiba aliachana na Jokate Mwegelo kwa kile kinachodaiwa kuwa ni mahusiano ya Alikiba na Seven Mosha ambaye ni meneja wake. Unahisi Ali Kiba atakubali huyu mtoto au ndiyo Dorothea anatafuta kiki?? 
Unaweza kum'follow Dorothea kwenye instagram kwa kubofya HAPA au tumia link ifuatayo https://www.instagram.com/dorothea_caroline/, hii itakusaidia kujua atajifungua lini mtoto ambaye atakuwa wa5 kwa AliKiba. 
Image result for animated download now gif

No comments

Powered by Blogger.