MAJIBU KUHUSU RANGE ROVER YA PAUL MAKONDA ILIYOONEKANA ZANZIBAR

Moja ya stori ambazo zilikuwa gumzo katika mitandao mbalimbali ya kijamii leo October 19, 2017 ni kuhusu kusambaa kwa picha zikionesha gari aina ya Range Rover iliyokuwa na namba zinazoashiria ni ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam. Sasa Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi, Zanzibar Ayoub Mahmoud katolea ufafanuzi kwenye Instagram yake.

Chanzo: MillardAyo.com
Image result for animated download now gif

No comments

Powered by Blogger.